Mkurugenzi wa Twanga pepeta Mama Asha Baraka (pili kulia) akijadiliana juu ya ratiba na Omar Baraka(shoto) na Leo Nyanduga usiku wa jana katika hafla ya kusikiliza nyimbo mpya za AFRICAN STARS iliofanyika Katka hoteli ya Movenpick.
Mkurugenzi wa kampuni ya Jambo Juma Pinto(shoto) akifuatilia shoo kwa makini
Wanenguaji wa Twanga katika Pozi.
Kundi zima la wanenguaji wa African Staras Bend wana wa Kutwanga na kupepeta wakiwajibika jukwaani jana katika Hafla ya kusikiliza nyimbo zao mpya zilizopo kwenye albam yao mpya inayokwenda kwa jina la Mwana Dar es alaam iliyofanyika kwenye Hoteli ya Movenpick.
No comments:
Post a Comment