Mshindi wa Vodacom Miss Kigamboni 2009 Karne Lukule (kati) akiwa na washindi wenzake Irene Chentopher (kushoto) ambaye alishika nafasi ya pili na Samirah Kafunda aliyeshika namba Tatu shindano hilo liliandaliwa na Kampuni ya Bongo5 Entertiment. na lilifanyika kwenye ukumbi wa Meese Resort Kigamboni
No comments:
Post a Comment