Waziri wa Viwanda na Biashara mama Mary Nagu akionyesha video ya Feisal Ismail mara baada ya kuizindua rasmi kwenye Hoteli ya Kilimanjaro Kempinski juzi ambapo pia aliizindua kampuni ya Pilipili Entertainment iliyotengeneza Video za wanamuziki hao nchini India kushoto ni Nilesh Bhatt mkurugenzi wa uzalishaji kampuni ya Pilipili.
Kutoka kulia ni Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Mh. George Mkuchika, Mwanamuziki Feisal Ismail maadam Ritah Paulsen Mkurugenzi wa Benchmark Production kampuni, ambayo pia inaandaa Bongo Star Search na Waziri wa Viwanda na Biashara mama Mary Nagu wakiwa katika picha ya pamoja.
Miss Tanzania 2007 Richa Adhia na mama yake Maria Adia kulia wakipozi katika picha wakati wa uzinduzi wa Video mbili za wanamuziki Baby Madaha na Feisal Ismail kwenye Hoteli ya Kilimanjaro Kempinski
No comments:
Post a Comment