.

.

.

.

Sunday, July 05, 2009

IRENE UWOYA KUFUNGA NDOA WIKI IJAYO

Irene Uwoya supastaa wa kike katika uigizaji wa filamu Nchini Tanzania jana alifanyiwa Pati ya jikoni nzito na mashosti wake pamoja na Mastaa wa kike kibao tayari kabisa kwa harusi yake itakayofanyika wiki ijayo.

Picha kwa hisani ya GPL

2 comments:

  1. Nilitaka kujuwa habari ya IRENE UWAYO kama kweli ame divorce na mume wake? kwa kuwa habari hizo zinatambaa saana hapa kwetu mjini BUJUMBURA sasa mimi nataka kupata information ya ukweli daima.
    my e-mail adress: yussouf_tandia@yahoo.fr, from BUJUMBURA BURUNDI.

    ReplyDelete