.

.

.

.

Tuesday, July 07, 2009

JK NCHINI ZAMBIA


Rais Jakaya Mrisho Kikwete (wa katikati mstari wa kushoto) akiwa kwenye mkutano na Rais wa Zambia Rupiah Bwezani Banda (wa katikati mstari wa kulia) kushoto kwake ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko Dr. Mary Nagu na kulia kwake ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Seif Ally Idd.
Rais Kikwete yuko katika ziara ya kikazi ya siku tatu Nchini Zambia.

No comments:

Post a Comment