
Hayo yalielezwa jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na Hakimu Mkazi Eva Nkya wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya kutajwa.Mara ya mwisho kesi hiyo ililazimika kuahirishwa baada ya kuharibika kwa kompyuta iliyokuwa ikirekodi mwenendo mzima wa kesi hiyo.
Washitakiwa hao wanadaiwa kuwa wakiwa waajiriwa wa serikali walitumia madaraka yao vibaya kwa kuipatia msamaha wa kodi kampuni ya M/S Alex Stewart na kuisababishia hasara serikali ya kiasi hicho cha pesa.
No comments:
Post a Comment