.

.

.

.

Tuesday, September 29, 2009

MAMBO YA AY NCHINI MALAYSIA

Ambwene Yessaya 'AY', (katikati) majuzi alikuwa mjini Kuala Lumpar nchini Malaysia kufanya shoo kwa mwaliko wa wabongo waishio nchini humo ambapo alikonga nyoyo za mashabiki wake ndani ya Club Titanium.


No comments:

Post a Comment