KLABU MPYA YA KISASA KUFUNGULIWA USIKU HUU
LEO USIKU KUANZIA SAA TATU KLABU MPYA YENYE KUMBI TATU PAMOJA IKIWEMO RESTAURANT ITAKAYOJULIKANA KAMA "CLUB AMBASSADOR" INAFUNGULIWA RASMI JIJINI LONDON MAENEO YA BARKING ADDRESS KAMILI NI:
20-30 LONDON ROAD
BARKING
IG11 8AG
MAWASILIANO:
JIMMI 0787 418 534
JOHN 07529 410 125
KARIBUNI NYOTE
No comments:
Post a Comment