
Dada Chemi CHEMPONDA anasikitika kutangaza kifo cha mume wake, Reverend Douglas G. Whitlow, kilichotokea nyumbani kwao Cambridge, Massachusetts jana asubuhi. Alikuwa na matatizo ya figo kwa muda mrefu. Alikuwa anangojea kidney transplant.Mipango ya mazishi inafanywa .
Kwa habari zaidi mnaweza kuwasiliana na:
Chemi Che-Mponda Whitlow 617-497-4353
Ezekiel Concord Luhigo 781-632-3605
REST IN ETERNAL PEACE. AMEN.
No comments:
Post a Comment