
Alikiba msanii toka Tanzania jana alikonga nyoyo za mashabiki wa London baada ya kumwaga shoo la nguvu CLUBAFRIQUE ,klabu iliyoko mashariki ya jiji la London.Na kama kawaida ya shoo zake nyomi kubwa ilikuwa ni Maua ya kila aina katika kona za ukumbi huo.
Is that Nilla my baby?
ReplyDeleteI hope she is!! Jamani am so happy to see you Nilla!!! Show ilibamba kweli.
Nilla please look for me.
its me SHANGWE
dah jamani show inaelekea ilikua tamu sana ,kiba kaka unanikosha kichiz we upo juu
ReplyDelete