.

.

.

.

Tuesday, March 30, 2010

NICE CHANDE ..................


Msanii wa sinema Tanzania Bi. Nice Chande akipozi mbele ya keki kabla ya kuikata na kuwalisha wasanii wa sinema mbalimbali waliojumuika nae ndani ya boti kusheherekea siku yake ya kuzaliwa.

Kwa picha zaidi tembelea
www.raythegreatest.blogspot.com

1 comment:

  1. hongera sana dada kwa kusherehekea cku yako kuzaliwa mungu akuzidishie uhai na maisha mema nakufagilia kinoma. pamojaH sana

    ReplyDelete