.

.

.

.

Thursday, April 01, 2010

MAMBO YA TIGO

Kulia ni Meneja Uhusiano wa kampuni ya simu ya Tigo Jackson Mmbando na kushoto ni Meneja matangazo na promosheni wa kampuni hiyo Redemtus Masaja akizindua Rasmi viwango nafuu vipya vya mawasiliano kwa wateja wa Tigo kuanzia leo. Ukiwa Tigo Thumuni inathamani kama zamani!Ongea utakavyo, sasa ni nusu shilingi kila sekunde baada ya dakika ya kwanza,saa20 kwa siku, kasoro saa12jioni-4usiku.

No comments:

Post a Comment