
Hafla hiyo inafanyika katika ofisi za Multichoice zilizopo Saint Peter Oysterbay jijini Dar es salaam.
Mwanafunzi Diana Kimaro wa Chuo Kikuu cha Nilai Malasia akisomea masuala ya biashara ambaye yuko katika benki ya NMB kwa mazoezi akimpatia huduma mmoja wa wateja wa benki ya NMB aliyefika katika hafla hiyo, Benki ya NMB pia imeshiriki katika hafla hiyo kwa ajili ya kuwaelezea wateja wao huduma mbalimbali wanazozitoa.


picha zaidi tembelea http://www.fullshangweblog.com/
No comments:
Post a Comment