Mwanamitindo wa mwaka 2012 Catherine Masumbiga (katikati) amepatikana kwenye shindano lililofanyika kwenye Klabu ya New Maisha jijini Dar es Salaam akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi wa pili Cesilia Michael (kushoto) na mshindi watatu Amina Ayubu. |
No comments:
Post a Comment