Rais wa wasafi, Diamond Platnumz akiwa tayari kwa all white Ciroc party
Babu Tale naye ndani
Zari akipendezeshwa na make-up artist
Diamond hakucheza mbali
Perfect gentleman: Diamond akimvalisha Zari kiatu
Mambo ya kujipendezesha yamekamilia..Time to party
Perfect gentleman: Diamond akimfungulia Zari mlango wa limo, tayari kuelekea Guvnor
Club Guvnor imefurikwa na wahudhuriaji wakiwasubiri Diamond na Zari kwa hamu
Diamond na Zari wakiongea na waandishi baada ya kuwasili nje ya club Guvnor
Paparazzi wakiwa kazini
Rita Pausen naye aliwakilisha
Diamond akimuongoza Zari kuelekea sehemu ya VIP
Time to party!
Miguu ya nani hiyo?
Ugandan legend, Jose Chameleone naye aliwakilisha; ingawa aliamua kuvunja mandhari ya “all white”
No comments:
Post a Comment