Mwanamuziki Ali Kiba akizikonga nyoyo za mashabiki waliofurika Dar Live katika shoo yake ya Mwana Dar Live iliyokuwa ikipigwa kwa 'Live Band'.
Ali Kiba na mdogo wake Abdul Kiba wakichekecha na kucheketua.
Mashabiki wa Ali Kiba wakishow love.
Ali Kiba na mdogo wake Abdul Kiba wakizidi kuwapagawisha mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live Sikukuu ya Pasaka.
Mashabiki wa Ali Kiba wakicheza staili mpya ya Chekecha Cheketua.
Shabiki wa Ali Kiba akiwa na tisheti kuonyesha kuwa yeye ni 'Team Kiba'.
Ali Kiba akizidi kulitawala steji la kupanda na kushuka la Dar Live.
Wapiga vyombo wa Ali Kiba wakiwa kazini.
Nyomi ikimpa shangwe Msaga Sumu.
Isha Mashauzi na kundi lake la Mashauzi Classic wakilishambulia jukwaa la Dar Live katika shoo ya Mwana Dar Live.
Isha Mashauzi akifanya yake stejini.
Mwanamuziki wa Bongo Fleva anayefanya vizuri katika tasnia hiyo, Pamela Daffa 'Pam D' akiwarusha mashabiki wa Dar Live kwa songi lake kali la Nimempata
No comments:
Post a Comment