.

.

.

.

Saturday, November 01, 2008

CINE CLUB SHOW

Msanii kutoka Uganda, Sanyu Cinderella (kulia) akipokewa na msanii wa kitanzania, Nasra Rajesh muda mfupi baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar jana Ijumaa
Anatalajiwa kuwa mmoja wa wasanii katika mpambano kati ya wasanii na madjs wa afrika mashariki ujulikanao kama TIGO EXTREME PARTY utakaofanyika katika klabu ya Cine.

No comments:

Post a Comment