.

.

.

.

Saturday, November 08, 2008

KATIBU MKUU UN NA VIONGOZI WA AFRIKA


Katibu mkuu wa umoja wa mataifa mh. ban ki moon akiwa na viongozi wa afrika katika mkutano wa kutafuta suluhu ya mgogoro wa jamhuri ya kidemokrasia ya kongo uliofanyika nairobi. toka shoto ni Rais yoweri kaguta museveni wa uganda, Rais mstaafu wa burundi pierre buyoya,Rais JK, Rais mwai kibaki wa kenya, Ban ki moon mwenyewe, Rais Paul Kagame wa Rwanda, Pierre Nkurunzinza wa burundi Rais mstaafu wa Nigeria Olesegun Obasanjo na Rais Joseph kabila wa Drc.

No comments:

Post a Comment