.

.

.

.

Saturday, November 08, 2008

FIESTA JIRAMBE DAR

Mwanamuziki wa Kimarekani Kat Deluna na wapambe wake wakiwasili kwenye hoteli ya Kilimanjaro a.k.a Kempisk jana usiku kwa ajili ya mapumziko.Mwanamuziki huyu ataangusha bonge la Show leo usiku viwanja vya Lidaz Club kwenye tamasha la fiesta jirambe 2008 ambapo kiingilio kimepangwa kuwa buku nane mpaka kumi

No comments:

Post a Comment