
Halmashauri kuu ya ccm(NEC) imeanza kikao chake leo chini ya mwenyekiti wake Mh.Raisi J.K. Kikwete.Picha hapo juu ni kushoto kwa Raisi ni Makamba (katibu mkuu)na Pius Msekwa (makamu mwenyekiti)
Kulia kwake ni Dr Shein (makamu Raisi)na Mizengo Pinda(Waziri mkuu)
No comments:
Post a Comment