.

.

.

.

Wednesday, December 10, 2008

BETHIDEI YA KATIBU WA CCM LONDON

BI SUSAN MZEE
Picha mwanana za Birthday ya katibu wa ccm London Bi sussan Mzee iliyofanyika Reading tarehe 07/12/2008 pamoja na sherehe ya Kumkaribisha Mdogo wangu Dr Charles na Mkewe Dr Mgesi Reading baada ya Harusi yao huko Bongo tarehe 29/11/2008.kwa niaba ya wadau wa blog hii tunapenda kumpongeza Mheshimiwa Sussan.

No comments:

Post a Comment