
Bingwa wa Dunia wa (WKN) World Kickboxing Network
Japhet Kaseba mara baada ya kuzungumza na wana habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo leo juu ya mpambano wake na mtaliano
Digrigoris Cosino utakaofanyika tarehe 1/ March/2009 jijini Dar. Digrigoris ni bingwa wa WKN nchini Italia.
No comments:
Post a Comment