.

.

.

.

Friday, March 13, 2009

MAMA KIKWETE NA DR.MIGIRO

Naibu katibu mkuu wa umoja wa mataifa Dr.Asha Rose Migiro akisalimiana na mwenyekiti wa wanawake na maendeleo (wama) mama Salma Kikwete alipomtembelea ofisini kwake jijini hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment