.

.

.

.

Wednesday, April 15, 2009

KAMAKAWA STUDIOS KURUDI UPYA

Gerald aka G-SOLLO ambaye ni mmiliki wa KAMAKAWA STUDIOS ameweka wazi kuhusiana na ufunguzi wa studio hiyo iliyokuwa imefungwa kwa takribani miezi miwili na kusema kwamba studio hiyo inafunguliwa hivi karibuni."Studio haijafa,tulikuwa kwenye marekebisho na mapumziko lakini tunafungua karibuni na imehamishiwa sehemu ingine ambayo nitatoa taarifa hapo badae kidogo"G-Sollo..Kumbuka studio hii ni moja kati ya studio inayotengeneza nyimbo zinazotokewa kupenda kama 'Kila Wakati' ya Joh Makini na 'Speed 120' ya Ngwear

No comments:

Post a Comment