.

.

.

.

Wednesday, April 15, 2009

VODACOM DAR MARATHON YAPIGA HODI

Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Nector Pendaeli Foya (kushoto) akionyesha mfano wa fomu zitakazotumika kuwaandikisha washiriki wa mbio za riadha zijulikanazo kama Vodacom Dar Marathon katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana. Fomu hizo zitapatikana kwenye maduka ya Vodashop sehemu mbalimbali nchini. Mbio zinatarajiwa kufanyika Juni 21 jijini humo. Kulia ni Ofisa Habari wa kampuni hiyo, Matina Nkurlu.

No comments:

Post a Comment