.

.

.

.

Thursday, May 21, 2009

BONGO MAMBO MSWANO

Beatrice Joseph (kushoto) na Selina Kipeta wakiwa wamebeba moja ya mashine za kuuzia Kondomu ambazo zimetolewa na Shirika la PSI kwa Kushirikiana na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
Mashine hizo zitasambazwa sehemu mbalimbali husasani maeneo ya starehe.

1 comment: