.

.

.

.

Tuesday, May 26, 2009

SOUND AFRIQUE YARUDI CANNING TOWN KWA VISHINDO

Ilikuwa juzi ambapo ukumbi maarufu wa midundo ya kiafrika jijini London (CLUBAFRIQUE) ulikuwa hautoshi baada ya Bendi yake maarufu ya "Sound Afrique " kukonga nyoyo za mashabiki wake kibao waliofurika baada ya kukosekana ukumbini hapo kwa karibia miezi nane.
Kuanzia sasa kila Jumapili kuanzia saa mbili usiku Bendi hiyo itakuwepo ukumbini hapo kuwapa raha wapenzi wa MAGITAA.Picha zaidi Baadaye na nyingine www.worldhotstars.blogspot.com

No comments:

Post a Comment