.

.

.

.

Tuesday, June 30, 2009

MISA YA KUMBUKUMBU


KWA NIABA YA KHALED, ARAFA NA MAHADIA KUMBUKA, TUNAPENDA KUTANGULIZA SHUKURANI ZA DHATI KWA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WOTE AMBAO TULIOSHIRIKIANA NAO TOKA MWANZO HADI MWISHO WA MSIBA WA MAREHEMU MAMA.PIA TUNAWATAARIFU KUWA KUTAKUWA NA MISA MAALUM YA KISWAHILI YA KUMUOMBEA MAREHEMU MAMA MARGARET KUMBUKA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 5TH JULY 2009 LONDON UNITED KINGDOM KUANZIA SAA NANE MCHANA (2.00 PM) HADI SAA KUMI JIONI (4.00 PM)
KATIKA KANISA LA ST. AGNES/MARGARET CHURCH,
OPPOSITE #2 GRESHAM ST
EC2V 7QP
LONDON
FOR MORE INFO CONTACT 07886897813, 07951503042 0R 07852289892

No comments:

Post a Comment