.

.

.

.

Thursday, July 23, 2009

FIBRE OPTIC YAZINDULIWA DSM

Rais Jakaya Kikwete akizindua rasmi Mkongo wa Kimataifa wa mawasiliano unaopita chini ya bahari uliowekwa na kampuni ya Seacom Dar es Salaam leo hii ambao utatuunganisha na dunia kimawasiliano kwa urahisi na gharama nafuu zaidi.

No comments:

Post a Comment