.

.

.

.

Saturday, August 01, 2009

REDDS MISS KINONDONI 2009

Lulu Ibrahim Redds Miss Kinondoni 2009 mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano lillilokuwa la kukata na shoka na lililofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es alaam.


Tatu bora toka shoto Lulu Ibrahim ,Aloyce Innocent na Yvonne Bigirwa


Tano bora wa shindano la Redds Miss Kinondoni kutoka kulia ni Aloycia Inocent,Yvonne Bigirwa, Sandra, Lulu Ibarahim na Amney Omary.

No comments:

Post a Comment