.

.

.

.

Monday, September 07, 2009

ANGALIA VISURA WA FACE OF AFRICA HAWA HAPA

Visura hawa ni miongoni mwa waliofikia hatua ya juu ambapo majina yao na picha vitatumwa afrika kusini kwa hatua ya mwisho ambayo hatimaye Tanzania itajipatia mwakilishi katika shindano hilo la Face of Africa linalotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu.

2 comments: