D'Banj amewasili nchini leo mchana kwa Ethiopian Airline kwa ajili ya shoo moja ya nguvu sana itakayofanyika siku ya jumamosi katika viwanja vya Tanganyika Packers ambapo yeye pamoja na wasanii kadhaa wa hapa nchini watafanya makamuzi ya kufa mtu siku hiyo.
No comments:
Post a Comment