.

.

.

.

Thursday, January 14, 2010

MAMBO YA "NURU THE LIGHT" BONGO

Mdau wa bongo usikose show babkubwa ya mwanamuziki machachari kutoka ughaibuni Nuru Mohd litakalofanyika jijini Dar es Salaam Tarehe 20th Jan 2010 ndani ya Florida Masaki kwanzia saa mbili usiku mpaka majogoo kwa kiingilio cha Shilingi Tsh 5000

No comments:

Post a Comment