.

.

.

.

Thursday, January 14, 2010

MSIBA READING

Jumuiya ya Watanzania Uingereza inasikitika kutangaza kifo cha SOPHIA HAYUMU (Mke wa Gerald Lusingu ) kilichotokea 10 January 2010 mchana Reading Berskshire .
Msiba upo :
15 Whitenights
Reading RG6 7BY


Utaratibu wa kusafirisha mwili wa marehemu unaandaliwa chini ya Mwenyekiti wa kamati ya kusafirisha mwili, Sheikh Ali Sungura.
Tanzania Association inaomba watanzania kutoa michango kwa ajili ya kusafirisha mwili wa marehemu kwenda Tanzania kwa ajili ya mazishi.


Tafadhali tuma mchango wako kwa mshika fedha wa kamati :
Ndugu M Upetu
Sort Code:207106
Account:80585114
Barclays Bank
Namba ya M Upetu:07501083328
Kwa maelezo zaidi wasiliana na Sheikh Sungura:07960319156


MWENYEZI MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI

No comments:

Post a Comment