.

.

.

.

Friday, September 10, 2010

EID MUBARAK WADAU WA MATUKIOUK


ASSALAAM ALEIKUM WARAHMATULLAH WABARAKATTU

HAKIKA LEO NI SIKU NYINGINE YENYE REHEMA NYINGI KUTOKA KWA MWENYEZI MUNGU MARA BAADA YA KUMALIZIKA KWA IBADA YA FUNGA YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN.

HAKIKA MWENYEZI MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA ARDHI NA KILA KILICHOMO NDANI YAKE AMETUJAALIA KUFUNGA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN KWA KUDRA ZAKE NA KWA IMANI YA KWAMBA DUA ZETU NA IBADA ZETU ZOTE ZIMEPOKELEWA .



EID MUBARAK

No comments:

Post a Comment