.

.

.

.

Saturday, September 11, 2010

IDD ZANZIBAR


Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji Khamis, akiongoza Viongozi mbalimbali wa kitaifa kwenye Sala ya Eid El Fitri, iliyosaliwa Kitaifa jana katika Msikiti Mkuu Mwembeshauri mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-Hajj Aman Abeid Karume kushoto, alipokuwa akizungumza na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad nje ya ukumbi wa nyumba ya Wananchi Forodhani mjini Zanzibar jana, baada ya kumalizika kwa
Baraza la Eid El Fitri.

No comments:

Post a Comment