.

.

.

.

Sunday, December 26, 2010

LIBENEKE JIPYA TOKA MARYLAND-WASHINGTON DC , U.S.A

www.swahilivilla.blogspot.com/

imeanzishwa mjini Washington Dc na inaendeleza kazi zake katika mji wa Maryland. Inatumia lugha ya kiswahili na kingereza ili kuhabarisha kuhusu maswala mbalimbali ya kijamii hasa katika ukanda wa Marekani mashariki na Afrika mashariki. Itakuwa inakuletea habari mbalimbali za kijamii, siasa, burudani,michezo nk. Nakaribisha maoni yenu. Wasiliana nasi kwa. Email:kijiko12@hotmail.com

1 comment:

  1. SHKRAN KAMANDA KWA KUONYESHA UPENDO KUHUSU BLOGLIST UNAKARIBISHWA KUCHOMOA HABARI ZOZOTE UTAKAZO ZIONA HAPO SWAHILIVILLA ASANTE SANA

    ReplyDelete