
Rais Jakaya Kikwete akiweka shada la maua katika kaburi la muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar na Muungano wa Tanzania, Hayati Marehemu Abeid Karume katika bustani za ofisi za CCM Kiswandui Zanzibar wakati wa maaadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha muasisi huyo. (PICHA NA FREDDY MARO)
No comments:
Post a Comment