.

.

.

.

Thursday, April 07, 2011

PINI JIPYA LA CHEGE NA TEMBA WAKIMUHUSISHA LINAH


Wakali wa Bongo flava Chege na Temba baaada ya kutoa MKONO MMOJA wimbo uliotamba katika redio na kumbi za starehe mbalimbali Nchini Tanzania hivi sasa wakimshirikisha mwanadada LINAH wamedondosha singo mpya inayojulikana kwa jina la KINOMANOMA.
na kama kawaida ni yule producer anayetamba kinoma Bongo kijana MARCO CHALI wa MJ RECORDS ........... sikiliza kitu hicho

No comments:

Post a Comment