.

.

.

.

Friday, May 27, 2011

WAZIRI MKUU WA INDIA AWASILI TANZANIA

Image
Rais Jakya Kikwete akimuongoza Waziri Mkuu wa India, Dk. Manmohan Singh muda mfupi baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Kushoto ni mke wa Dk. Singh, Gursharan Kaur, na katikati ni Mke wa Rais Kikwete, Mama Salma Kikwete. (Picha na Fadhil Akida)

No comments:

Post a Comment