.

.

.

.

Thursday, July 21, 2011

JAIRO ASIMAMISHWA KAZI


Katibu Mkuu Kiongozi Philemon Luhanjo
akizungumza na waandishi wa habari leo
mjini Dodoma.

Taarifa zilizopatikana kutoka mjini Dodoma zimesema, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo amesimamishwa kazi kuanzia leo. Hatua hiyo imetangazwa leo mjini Dodoma na Katibu Mkuu Kiongozi Philemon Luhanjo katika mkutano na Waandishi wa habari. Jairo aliingia matatani baada ya kudaiwa kuandika barua ya kuchangisha sh. milioni 50 kila taasisi zilizopo chini ya wizara ya Nishati na Madini.

No comments:

Post a Comment