.

.

.

.

Saturday, July 30, 2011

SALHA ISRAELI KIDEDEA MISS REDDS ILALA


Redds Miss Ilala Salha Israel akipunga mkono mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano hilo, lililofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini usiku wa kuamkia leo, kulia ni Alexia William mshindi wa pili ni Jennifer Ukwale.
Washindi hawa watatu wa Redds Miss Ilala watawakilisha kanda ya Ilala moja kwa moja katika shindano kubwa la Vodacom Miss Tanzania litakalofanyika baadae mwaka huu, Vodacom Tanzania ndiyo wadhamini wakuu wa shindano la Vodacom Miss Tanzania.

Wadau wakiangalia warembo kazini
Vazi la jioni
Vazi la ufukweni
Mwigizaji wa filamu Jaquiline Walper ndani ya nyumba

No comments:

Post a Comment