.

.

.

.

Thursday, August 18, 2011

KUTOKA BUNGENI

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Makatibu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) wa kata za Mkoa wa Mtwara kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma. Kushoto kwake ni Mbunge wa Viti Maalumu kutoka mkoa huo, Anastazia Wambura. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment