.

.

.

.

Tuesday, August 23, 2011

PICHA YA LEO


Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete, Balozi wa Marekani nchini Tanzania Alfonso Lenhardt (kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na nyota wa mchezo wa kikapu nchini Marekani Dwight Howard(Katikati)wakati nyota huyo alipomtembelea Rais ikulu jijini Dar es Salaam jana.Nyota huyo anachezea klabu ya Orlando Magic. PICHA/IKULU

No comments:

Post a Comment