.

.

.

.

Saturday, August 06, 2011

RAIS JK AFUTURU NA WATOTO YATIMA IKULU


Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akimhudumia mmoja ya watoto yatima aliowaalika katika futari ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.Rais Kikwete jana jioni alifuturu na baadhi ya watoto yatima wanaolelewa katika vituo mbalimbali jijini Dar es Salaam.
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa zawadi kwa baadhi ya watoto yatima aliofuturu nao jana jioni ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akimhudumia mmoja wa watoto yatima aliowaalika katika futariikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.Rais Kikwete jana jioni alifuturu na baadhi ya watoto yatima wanaolelewa katika vituo mbalimbali jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment