.

.

.

.

Thursday, August 25, 2011

TMTV IKO NJIANI ...........


TUNAPENDA KUWATANGAZIA WATANZANIA WOTE WANAOISHI NDANI NA NJE YA TANZANIA
KATIKA SIKU ZIJAZO ZA KARIBU TUTAFUNGUA TELEVISHENI. CHANELI YA MUZIKI WA
KITANZANIA, KWA JINA LA TANZANIA MUSIC TELEVISION {TMTV} (WWW.TMTV.CO.TZ) AMBAYO
ITAKUWA INAPATIKA KWENYE MTANDAO,SETILATI,SIMU ZA MKONONI NA

VING'AMUZI(DECODER)

CHANELI HII ITAKUWA NA VIPINDI VIFUATAVYO:

1.BONGO BOX

2.SALAMU BOX

3.BENDI ZETU

4.TAARABU

5.ZILIPENDWA

6.NYIMBO ZA DINI

7.VIPAJI

8. HABARI ZA MUZIKI

9.SWAHILI HIP-POP

10.NYIMBO ZA UTAMADUNI

ILI KUBORESHA UFANISHI WA CHANELI TUNAOMBA MAPENDEKEZO YENU KUPITIA
info@tmtv.co.tz
BONYEZA HAPA KWA KUANGALIA CHANELI
KWA KOMPYUTA NYINGINE UTALAZIMIKA KUDOWNLOD SOFTWARE YA MICROSOFT SILVER LIGHT KWA AJILI YA KUANGALIA TV.
SOFTWARE ITAJITOKEZA KTK SCREEN KWA AJILI YA KUDOWNLOD.

No comments:

Post a Comment