.

.

.

.

Thursday, October 27, 2011

BI. KIDUDE ...........


Kuna taarifa za uzushi zinazoendelea katika mitandao mbali mbali, kama Facebook pamoja na BBM kuwa, legendari wa muziki Tanzania Bi Kidude amefariki dunia. Baada ya taarifa hizo kumfika Bi.Kidude ,amejitokeza na kusema kuwa yeye ni mzima na buheri wa afya.
Habari zilizoenea kwenye mtandao wa jamii wa Facebook zilisema kwamba Bi Kidude alifariki dunia juzi huko Zanzibari. Wengi wa walioandika status zao walishindwa kuthibitisha habari hizo.

No comments:

Post a Comment