.

.

.

.

Thursday, October 27, 2011

MRISHO SENGA AFIWA NA MWANAE

"Bw Mrisho Senga Mlela wa London UK, anasikitika kuwatangazia kifo cha mwanawe Ahmed Mrisho Senga kilichotokea ghafla huko Switzerland. Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu kwenda Dar es salaam Tanzania kwa mizishi inafanyika.

Tunaowomba ndugu na jamaa kusaidia kwa michango yenu ya hali na mali ili tuweze kufanikisha kuupeleka mwili wa marehemu nyumbani.

Michango iwekwe kwenye A/C 12176968 SORT CODE 30-93-61 LLOYDS TSB BANK

Kamati ya maandalizi inaongozwa na
Bw Mrisho Senga: 07536477586
Bw Fadhili Karanja: 07424064084 +255756444369
Bw Ally Sungura: 07405595831
Bw Issa Kibira: 07828198578

Waasalam

No comments:

Post a Comment