.

.

.

.

Tuesday, November 08, 2011

AFARIKI AKIIBA MAFUTA YA TRANSFOMA

Mafundi wa TANESCO wakiutoa Mwili wa mtu ambaye hakufahamika jina juu ya nguzo za umeme ,mtu huyo alinaswa na umeme na kupoteza maisha wakati akijaribu kuiba mafuta ya transifoma jijini Mwanza.
Mwili wa mtu ambaye hakufahamika jina ukiwa juu ya nguzo za umeme ,mtu huyo alinaswa na umeme na kupoteza maisha wakati akijaribu kuiba mafuta ya transifoma jijini Mwanza.

1 comment: