.

.

.

.

Thursday, November 10, 2011

PRINCE CHARLES NA MKEWE WATEMBELEA MJI MKONGWE ZANZIBAR


MTEMBEZA Watalii akitowa maelezo kwa Mwana wa Mfalme wa Uingereza Prince Charles, alipotembelea Mji Mkongwe wakati wa ziara yake Zanzibar.
MKE wa Prince Charles Camilla akiwasalimu Wananchi katika Mji Mkongwe wa Zanzibar alipokuwa na ziara ya siku moja Zanzibar.
WANANCHI wakimlaki Mwana wa Mfalme wa Uingereza Prince Charles alipotembelea Mji Mkongwe wa Zanzibar.

No comments:

Post a Comment